Mbowe alivyohitimisha Kampeni za Uchaguzi Kinondoni
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Aikael Mbowe akiwa na Wabunge wa Chama hicho alifunga kampeni katika Jimbo la Kinondoni ambapo uchaguzi unafanyika leo
Mbowe amewataka Wakazi wa Kinondoni kumchagua Salum Mwalim ili aweze kuwaletea Maendeleo katika Jimbo hilo la Kinondoni
No comments