IMETHIBITISHWA: “Risasi Moja imempata Mtu Amefariki” - Kamanda Mambosasa

February 17 2018 Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kuwa mtu mmoja amepigwa risasi wakati wakiwatawanya wafuasi wa CHADEMA waliokuwa wanaandama February 16, 2018.

 Wafuasi hao walikuwa wanaandamana kuelekea Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kinondoni kudai viapo vya Mawakala wa Chama hicho. Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Kamanda.

   
 POLISI WALIVYODHIBITI WAANDAMANAJI WA WALIOKUWA WANAENDA KWA MKRUGENZI WA UCHAGUZI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

No comments

Powered by Blogger.