Kauli ya kwanza ya Aika baada ya mtoto wake


kundi la Navykenzo ‘Aika’ alibahatika kupata mtoto wa kiume ‘Gold’ miezi miwili iliyopita na mpenzi wake Nahreel ambaye wamekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi zaidi ya miaka nane.

 Kupitia ukurasa wa instagram wa Aika ameweka wazi kuwa yupo tayari kufanya muziki mzuri na kuufikisha mbali zaidi kutokana na kujisikia kuwa bado ni binti mdogo na yupo tayari kupata watoto wengine

 
Najisikia msichana mbichi zaidi na nipo huru kwenye mwili wangu , niko tayari kufanya kazi kwa nguvu zaidi, kutengeneza muziki mzuri kusafiri na kuzunguka duniani na hata nipo tayari kuzaa watoto wengine nashukuru kwa kunitakia kheri ya kuzaliwa Nawapenda wote

No comments

Powered by Blogger.