Baba Mzazi wa Akwilina aomba kuonana na JPM, amesema ana siku 4 hajaoga
Baba mzazi wa aliyekuwa mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji NIT aliyefariki kwa kupigwa risasi February 16 mwaka huu maeneo ya Kionondoni Dar es Salaam amesema ana siku ya nne hajaoga kufuatia taarifa za kifo cha mwanae huku akisema amemsomesha Mtoto wake kwa kuuza vitu vidogovidogo kama kuku, mayai na maembe ili aweze kusoma
No comments