Ben Pol amefunguka na kusema kuwa style yake ya nywele kichwani imempa dili mbalimbali zenye mkataba mzuri japo ilichukua muda kukubaliana na moja ya kampuni kutokana na hela aliyokuwa anahitaji yeye lakini mwisho wa siku walikubaliana na hivi karibuni watatangaza official.
No comments