Vitu alivyosisitiza IGP Sirro Zanzibar
IGP Sirro amesema bado jeshi hilo linakabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo ucheleweshaji wa upelelezi, rushwa pamoja na uwepo wa viashiria vya kihalifu.
Simon Sirro leo February 12, 2018 amemuapisha Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohammed Hassan Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam zoezi ambalo amelifanya kwa niaba ya Rais Dr. John Pombe Magufuli ambapo amesema kazi ya Polisi ni ya kujitolea na bado kazi hiyo inakabiliwa na changamoto nyingi
No comments