“Sijawahi na sitakaa nishirikiane na Diwani na Mbunge wa CHADEMA” RC Mnyeti
“Sasa Kama mtu ameteuliwa na yuko chini yangu mimi halafu anafanya maelekezo anayoyajua yeye tofauti na kwenye Ilani mimi kama Kiongozi wa Mkoa lazima nimchukulie hatua” -RC Mnyeti
Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ametoa onyo kwa Viongozi wa ngazi za chini katika mkoa huo ikiwemo Wakuu wa wilaya kutoshirikiana na Madiwani na Wabunge wa CHADEMA na kusema kiongozi atakayekiuka atachukuliwa hatua.
No comments