Mapadri wamekamatwa nchini DRC Congo

Zaidi ya Makanisa 150 yaliandamana nchini DRC Congo December 31, 2017 wakimtaka Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani katika maandamano hayo imetolewa taarifa na Msemaji wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Congo Florence Marchal Katika hotuba yake ya kumaliza mwaka, Kabila amesisitiza kuwa kutangazwa kwa ratiba ya uchaguzi wa December 2018, kumefungua njia ya maandalizi ya uchaguzi huo.

No comments

Powered by Blogger.