Nipo tayari kupata matatizo kwa sababu ya kupost picha za sajuki-Wastara

“Naweza nikawa nakosea sana lakini sina jinsi ni mapenzi ya dhati ndio yananituma kufanya hivi siwezi kuuzuia moyo Ulipokuja kwenye maisha yangu kuna maisha mapya nimeishi na wewe na umeniacha,”>>>Wastara instagram “Kama kupost picha zako kila mwanzo wa mwaka huwa kunaniletea shida na matatizo katika maisha yangu basi wacha tu yanikute niko tayari kuyapokea lakini hakuna wa kusitisha zoezi hili katika maisha yote mpaka nakufa mwaka mpya nitakuwa na wewe kokote niendapo japo kiroho inanitosha,” – Wastara

No comments

Powered by Blogger.