Mchungaji Ambilikile Mwasapile a.k.a Babu Wa Loliondo afurahishwa na Tanzania kwa hayaa kwenye Leo tena

Mchungaji Ambilikile anasema"hali ni nzuri anaendelea kuwahudumia Watanzania na wengine kutoka nje ya Nchi na ni fahari kwa TZA watu kutoka nje wanakwenda loliondo, ni ajabu sana hata watalii wanaenda ukiwauliza wanasema zimeenea taarifa ninafurahishwa na kutembelewa na moja ya Redio ya tanzania kutoka kwa Abood FM na nina imani bado mnanikumbuka kwa kikombe changu. hivyo ninawasihi bado muendelee kuja bei yake ni nafuu sana.

No comments

Powered by Blogger.