Ndugu wawili wa Mke wa Rais wa Venezuela wahukumiwa kifungo cha miaka 18

Franqui Francisco Flores-de Freitas na Efrain Antonio Campo-Flores walishitakiwa kwa kosa la kuandaa na kusafirisha kilo 800 za cocaine nchini marekani na walikamatwa mwaka 2015 nchini haiti wakili wa utetezi wameomba hukumu hiyo ipunguzwe hadi kufikia miaka 10 lakini muendesha mashitaka amesema kwa hukumu hiyo wangefungwa hadi miaka 30 lakini wamepunguziwa hadi miaka 18 kwa sababu hawana rekodi ya uhalifu.

No comments

Powered by Blogger.