Shilole alamba deal na kampuni ya simu ya TTCL

Msanii Shilole kwa mashabiki wake baada ya kupata deal toka Kampuni ya Simu ya TTCL ambapo ameingia nao mkataba japo hajaweka wazi ni mkataba wa muda gani na ni waaina gani bali inaonekana ni deal ni nono kwake.

Shilole ametumia ukurasa wake wa Instagram kuandika haya kuhusu deal hilo….>>>”Asanteni sana TTCL Tanzania kwa kuniamini na kunipa Nafasi hii! Mkataba umeshasainiwa. Asante Kaka yangu Waziri kwa kuniamini pia. Sasa turudi Nyumbani mashabiki zangu. #RudiNyumbaniKumenoga .Wakati ndio huu!” – Shilole

No comments

Powered by Blogger.