DC Jokate azungumza changamoto aliyokutana nayo Kisarawe
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo
amesema kuwa ndani ya muda mfupi aliokaa madarakani akiwa kama DC wa
Kisarawe aligundua kuwa vijana wa Kisarawe hawana muamko wa kutafuta
fursa mbalimbali ili kujikwamua kimaisha.
Ameyasema hayo wakati akiwa mgeni mwalikwa katika uwasilishwaji wa matokeo ya mradi wa shirika la Plan International wa Uwezeshaji kwa Vijana Kiuchumi (Youth Economic Empowerment) ‘YEE‘ iliyoshirikisha mikoa ya Pwani, Dar es Salaam, Mtwara na Lindi ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Antony Mavunde.

No comments