Alichozungumza Waziri Jafo baada ya Jangwani Sekondari kuwa ya mwisho

Jafo amesema Shule hiyo ni miongoni mwa Shule chache zenye Walimu wengi lakini imekuwa katika kundi la mwisho “Shule ya Jangwani ina walimu 87, Shule ya Kibaha ina Walimu 52, yenye Walimu 52 inakua ya kwanza kitaifa lakini yenye Walimu 87 inakua ya tatu kutoka mwisho kitaifa”
Waziri Jafo ametoa maagizo kwa Katibu Tawala wa Mkoa Afisa wa DSM abadilishe uongozi lakini pia mabadiliko ya Walimu yafanyike.
No comments