Rais Magufuli Akipokea Gawio la Serikali Kutoka TTCL
Rais Magufuli Akipokea Gawio la Serikali Kutoka TTCL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo Juni 21, 2018 amepokea gawio la serikali la shilingi Bilioni 1.5 Kutoka kwa Kampuni ya Mkongwe wa Mawasiliano Nchini (TTCL).
Hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
No comments