Muhimbili yafanikiwa kupandikiza figo kwa wagonjwa

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kipindi cha miezi nane sasa imefanikiwa kupandikiza figo kwa wagonjwa 10 .

Akizungumza na waandishi wa habari June 26 2018 Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Prof Lawrance Museru amesema upandikizaji huo hadi hivi sasa umegharimu kiasi cha shilingi milioni 210 sawa na milioni 21 kwa mgonjwa mmoja ambapo kama wangeenda nje ingegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1 sawa na shilingi milioni 100 kwa kila mgonjwa


 

No comments

Powered by Blogger.