Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma,
Kasuku Samson Bilago (CHADEMA) amefariki dunia mchana huu katika
Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Marehemu Bilango alikua anakabiliwa na
maradhi ya utumbo, ambapo alisafirishwa kwa ndege maalum kutoka Dodoma
kuja Dar es Salaam siku ya jumanne.
No comments