“Kama Boxing ni ubabe kafanye huko nyumbani kwako”-Waziri Mwakyembe
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe ametoa onyo la mwisho kwa viongozi wa vyama vya ngumi za kulipwa vya PST na TPBO kurekebisha mwenendo wao, vinginevyo atavifungia.
Mwakyembe ametoa onyo wakati shughuli ya kukabidhiwa taarifa ya Kamati aliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza uendeshaji wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini, iliyofanyika jijini Dar es salaam May 22
ilokuwa na malalamiko mengi kuhusu mchezo wa ngumi za kulipwa kutoka kwa wadau, na alibaini kuna mambo kadhaa ambayo yamekua yakiwadhalilisha mabondia pindi wanapokwenda nje ya nchi
No comments