Snoop Dogg aingiza sokoni albamu yake ‘Bible Of Love’

Usishangae pale utakapo sikia kuwa rapper Snoop Dogg amekuwa muhubiri wa Injili,  hii ni kwa sababu msanii huyo ameelekeza nguvu zake kwa sasa kwa kuimba nyimbo za kumsifu mungu na tayari ameingiza albamu yake ya  ‘Bible Of Love’ sokoni  inayomsifu mungu kwa miujiza yake.


‘Bible Of Love’ ni albamu ya 34 kwa mkongwe huyo wa Hi Hop ambayo ilitoka Machi 16 mwaka huu, huku ikiwa na jumla ya nyimbo 32 na amewashirikisha wasanii wa muziki huo kama vile;- Charlie Wilson, Faith Evans, K-Ci, Kim Burrell, The Clark Sisters, Daz Dillinger, Jazze Pha, Patti LaBelle, Mary Mary na wengineo.


Orodha ya ngoma hizo ni;-
1. “Thank You Lord (Intro)” featuring Chris Bolton
2. “Love for God” featuring Uncle Chucc, The Zion Messengers and K-Ci
3. “Always Got Something to Say”
4. “Defeated” featuring John P. Kee
5. “In the Name of Jesus” featuring October London
6. “Going Home” featuring Uncle Chucc and The Zion Messengers
7. “Saved” featuring Faith Evans and 3rd Generation
8. “Sunshine Feel Good” featuring Kim Burrell
9. “Sunrise” featuring Sly Pyper
10. “Pure Gold” featuring The Clark Sisters
11. “Pain” featuring B Slade
12. “New Wave” featuring Mali Music
13. “On Time” featuring B Slade
14. “You” featuring Tye Tribbett
15. “One More Day” featuring Charlie Wilson
16. “Bible of Love (Interlude)” featuring Lonny Bereal
17. “Come as You Are” featuring Marvin Sapp and Mary Mary
18. “Talk to God” featuring Mali Music and Kim Burrell
19. “Changed” featuring Isaac Carree and Jazze Pha
20. “Praise Him” featuring Soopafly
21. “Blessing Me Again” featuring Rance Allen
22. “Bleesed & Highly Favored (Remix)” featuring The Clark Sisters
23. “Unbelievable” featuring Ev3
24. “No One Else” featuring K-Ci
25. “Chizzle” featuring Sly Pyper and Daz Dillinger
26. “My God” featuring James Wright
27. “When It’s All Over” featuring Patti LaBelle
28. “Crown” featuring Tyrell Urquhart, Jazze Pha and Isaac Carree
29. “Call Him” featuring Fred Hammond
30. “Change the World” featuring John P. Kee
31. “Voices of Praise”
32. “Words Are Few” featuring B Slade


Mnamo Januari mwaka huu katika mahojiano na Beats 1, Snoop alieleza kuwa hakuwahi kupata muda wa kufanya kazi ya Injili kwa sababu hapo awali alikuwa akifanya biashara za kigangsta na kuimba injili ni kitu ambacho kilikuwa ndani ya moyo wake kwa muda mrefu sana na ameamua kufanya hivyo sasa.

No comments

Powered by Blogger.