Samatta na Kichuya walivyowaua Congo leo, FT 2-0 (+Video)
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya kupoteza mchezo wa dhidi ya timu ya taifa ya Algeria kwa magoli 4-1 nchni Algeria, leo uwanja wa Taifa walicheza dhidi ya timu ya taifa ya Congo DRC na kupata ushindi wa magoli 2-0, magoli yakifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 74 na Shiza Kichuya dakika ya 85
No comments