Mwigulu ametamani kumuona Nondo chuoni


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Mwigulu Nchemba March 16, 2018 amewataka wanafunzi kuachana na harakati za kutengeneza taswira mbaya juu ya serikali badala yake kuwa na mitazamo chanya.

“Nilishawahi kufanya harakati nikiwa chuoni na nilipewa jina la Chifu, majina yangu yamekuja kujulikana nikiwa serikalini lakini nilikuwa napinga baadhi ya ajenda za Taifa ambazo niliona hazina manufaa,” – Dk Mwigulu Mchemba.

 

No comments

Powered by Blogger.