Alichokiandika Nikki wa Pili kwenye Elimu ya sasa na Dunia Ijayo

Msanii Nikki wa Pili amekuwa ni mtu wa kuandika jumbe zenye kuelimisha kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye dunia ya sasa na hata future sasa leo msanii huyo ameandika ujumbe kwenye page yake ya Instagram.

Darasani wanapotajwa wanafunzi wenye akili au uwezo, mchoraji wa hali ya juu kama huyu hata tajwa, hata nyumbani ukishindwa hesabu na ukachora mchoro kama huu yani mzazi anaweza hata asiwe na habari nao, ata waza akusaidie vipi ufaulu hesabu." - Nikki wa Pili


“Dunia tunayoelekea inabadilika sana…….kazi yako yaweza chukuliwa na mashine au kufanywa kirahisi na technology Watu ambao watakua na nafasi dunia ijayo ni wale walio wepesi kujifunza, watundu, wana kiu, wana passion, wanafikiri na kubuni na hivi ni vitu unazaliwa navyo  Bahati mbaya shule kuna himizi kumeza, kufaulu, na kuja kuwa mtu flani…………

“ukweli ni kwamba baadae haifahamiki nini kitakua na soko au uchumi utachukua sura gani………cha msingi ni kujiandaa kujifunza, kubuni, kuwa mtundu, kufikiri na ku adopt ni hizi tabia wote tunazo watizame watoto utaeleawa, Jifunze zaidi mada hii link kwa bio yangu smartgeneration na kitabu cha the element” – Nikki wa Pili 
Darasani wanapotajwa wanafunzi wenye akili au uwezo, mchoraji wa hali ya juu kama huyu hata tajwa, hata nyumbani ukishindwa hesabu na ukachora mchoro kama huu yani mzazi anaweza hata asiwe na habari nao, ata waza akusaidie vipi ufaulu hesabu Dunia tunayoelekea inabadilika sana.......kazi yako yaweza chukuliwa na mashine au kufanywa kirahisi na technology Watu ambao watakua na nafasi dunia ijayo ni wale walio wepesi kujifunza, watundu, wana kiu, wana passion, wanafikiri na kubuni na hivi ni vitu unazaliwa navyo Bahati mbaya shule kuna himizi kumeza, kufaulu, na kuja kuwa mtu flani............ukweli ni kwamba baadae haifahamiki nini kitakua na soko au uchumi utachukua sura gani.........cha msingi ni kujiandaa kujifunza, kubuni, kuwa mtundu, kufikiri na ku adopt ni hizi tabia wote tunazo watizame watoto utaeleawa Jifunze zaidi mada hii link kwa bio yangu smartgeneration na kitabu cha the element
A post shared by nikkwapili (@nikkwapili) on

No comments

Powered by Blogger.