TRL imepoteza Bilioni 5 katiak uzinduzi wa RELI ya kati
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbalawa ameifungua Reli ya kati ambayo haikufanya kazi takribani mwezi mmoja baada ya kuaribiwa na mafuriko ya mvua hasa maeneo ya Kilosa Morogoro.
“Serikali imejipanga kuhakikisha tatizo hili linapata ufumbuzi wa kudumu, tutahakikisha njia ya Reli inapanda juu au tutahamisha hii reli, lazima tutafute suluhisho la kudumu, mapato ambayo kwa mwezi mmoja Reli hii imepoteza ni zaidi ya Bilioni 4” -Prof. Mbalawa
No comments