Mwili huo unapelekwa katika viwanja vyaChuo cha Usafirishaji NIT Mabibo alipokuwa anasoma kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho mchana huu kabla ya kusafirishwa kwenda Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.
LIVE: Mwili wa Marehemu Akwilina unavyotolewa Muhimbili
No comments