Mkuu wa Wilaya akimpongeza Mumewe kwa Kuoa Mke wa Pili (video)
Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainab Abdallah, amewashangaza watu wengi baada ya kutoa pongezi kwa Mume wake baada ya kuoa mke wa Pili, kwani ni adimu kwa Mwanamke kumpongeza Mumewe kwa kuongeza mke.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram DC Zainabu ameandika kuwa wazo la mume wake kuongeza mke wa pili lilitoka kwake, baada ya kuona majukumu ya kazi yanambana na kushindwa kutekeleza majukumu ya ndoa
No comments