Pogba kaondolewa kwenye kikosi haraka sana


Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea Man United ya England Paul Pogba ameondolewa kwenye kikosi cha Man United ambacho kilikuwa kinatarajiwa kucheza game ya FA dhidi ya Huddersfield Pogba ameondolewa kwenye kikosi kinachotarajia kucheza game ya FA dhidi ya Huddersfield leo saa 20:00 kwa saa za Afrika Mashariki, baada ya kuugua ghafla lakini ugonjwa wake haujatajwa
 
ugonjwa wa Pogba haujatajwa anasumbuliwa na tatizo gani lakini nafasi yake amepewa Ethan Hamilton mchezaji wa Man United wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 23 kabla ya kuripotiwa kwa taarifa za kuondolewa kwa Pogba kikosini, kuna stori kuwa Pogba hana furaha na nafasi anayochezeshwa na Jose Mourinho katika kikosi cha Man United na imeripotiwa kuwa hawapo katika mahusiano mazuri kwa sasa.

 Mastaa wa soka Bongo Niyonzima, Kaseja, Okwi, Manula na Himid wakiwa na wake zao

 

No comments

Powered by Blogger.