Baadhi ya Matokeo katika Vituo vya Uchaguzi wa Kinondoni - Tazama Hapa

Matokeo ya Uchaguzi Mdogo katika majimbo Kinondoni na Siha yanaendelea kutoka kwenye vitu tofauti tofauti, huku zoezi la kuhesabu kura likiendelea kwenye vituo vingine. Haya ni matokeo kwenye baadhi ya vituo vya kupigia kura, katika kata ya Makumbusho, Kinondoni

No comments

Powered by Blogger.