Mnyika aeleza Barua waliyoipokea CHADEMA kutoka Polisi
Mbunge wa Jimbo la Ubungo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika February 19, 2018 amezungumza akiwa nyumbani kwenye msiba wa Akwilina Maftah.
“Nimepewa taarifa kwamba Jeshi la Polisi limepeleka Barua makao makuu ya Chama likituita baadhi ya Viongozi ambao limetutaja kwa majina, wamechelewesha barua makusudi pamoja na kwamba barua imechelewa wameambiwa watutafute popopte tulipo,” -Mnyika

No comments