Kutoka kwenye Escape One show ya Aslay na Nandy

Nandy na Aslay walikuwa na show ya Pamoja iliyofahamika kama show ya Aslay, Nandy na marafiki ambapo walijitokeza baadhi ya Mastaa pamoja na mashabiki na wapenzi wa muziki, imenasa baadhi ya picha kutoka kwenye event hiyo..

Aslay aimba wimbo wa Ngarenalo LIVE, Dogo Janja amtunza Dollar

 

No comments

Powered by Blogger.