“Tulipoona kitendo kile tulishtuka, nilitoa maelekezo kwa Kamanda wa Polisi wa Kinondoni na tulichukua hatua na hivi navyoongea mhusika si mtumishi wa Polisi, na taratibu za kumpeleka Mahakamani zinafuatwa,”-Mambosasa
No comments