Drogba asajiliwa Ligi kuu Ufaransa (picha)

Staa wa Soka Didier Drogba ambaye Mtoto wake Isaac Drogba mwenye miaka 17 amesajiliwa katika klabu ya soka ya En Avant de Guingamp ambayo inashiriki ligi kuu ya Ufaransa

 Kupitia ukurasa wa Team ya En Avant de Guingamp wamepost picha ya utambulisho wa Isaac.
 
 
Droga amewahi kucheza katika chuo cha soka cha Chelsea nchini Uingereza.

 Katika ukurasa wake Instagram, Drogba ameonyesha furaha aliyonayo kwa hatua hiyo ya mwanae kwa kuandika, “Couldn’t be more proud of you @isaacdrogba11 @eaguingamp Fiers de toi @isaacdrogba11 @eaguingamp.” 
 
 
Frank Lampard ambaye amewahi kucheza na Drogba katika timu ya Chelsea, kupitia mtandao huo ame-comment kwa kuandika, “Congratulations! I remember Isaac as the small polite boy! Now a man!.”

 John Terry hakutaka kupitwa akaamua ku-comment, “Can’t believe how big he is mate, congratulations.”

No comments

Powered by Blogger.