Diamond kampost Dylan Kwa mara ya kwanza


Ukurasa wa instagram wa Muimbaji Staa Diamond Platnumz amepost picha ya watoto wake wa kiume Nillan na Dylan ikiwa ndio picha ya kwanza kuipost kupitia instagram account yake akiwa amewapost kwa pamoja 

Diamond Platnumz akiri kuwa amezaa na Hamisa Mobetto haijawahi kuwa kawaida kwa Diamond kupost picha ya mtoto wake Dylan aliyezaa na Hamisa Mobetto zaidi ya kupost siku aliyokiri kuzaa na Hamisa na alifanya hivyo kupitia instagram account yake

 
Kupitia instagram account ya Diamond Platnumz ameandika vitu anavyomiliki na ujumbe kwa watoto wake. 

 “Record Label,Wasafi Records,Diamond Karanga,Chibu Perfumes WasafiDotCom,Wasafi Studios,Wasafi Tv,Wasafi Fm Pamoja na uzuri mliorithi toka kwa mama zenu halafu mkaenda kuniletea wakwe vijuso Dah Mtanisikitisha sana” -Diamond

 

No comments

Powered by Blogger.