Bomoabomoa nyingine iliyofanyika Dodoma jana (+Video)
Manispaa ya Dodoma imeanza utekelezaji wa bomoabomoa nyumba na vibanda vya biashara zilizojengwa bila vibali maalum kutoka manispaa kufuatia agizo lililotolewa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Binilth Mahenge ambapo kazi imeanza katika baadhi ya maeneo yanayozunguka hospitali ya mkoa, mtaa wa Kisasa pamoja na chako ni chako.
No comments