Ray C Amuomba JPM Magufuli kwa sheria ya ndoa kutiliwa mkazo

Rehema Chalamila (Ray C) amemuomba Rais JPM kupitisha sheria kama ya Rais Sultan wa Oman kwamba hakuna uhusiano wa kimapenzi kati ya mwanaume na mwanamke mpaka wafunge ndoa vinginevyo wakae segerea.

No comments

Powered by Blogger.