700 Waliokamatwa na Boko Haramu wakimbia kambi

Nchini Nigeria Rais Buhari anaeleza kuwa takribani watu 700 ambao walikuwa mateka wa kundi la waasi la Boko Haram wamefanikiwa kutoroka mikononi kwa kundi hilo. Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi Kanal Timothy Antigha amesema kuwa wamefanikiwa kutoroka kupitia visiwa kadhaa vya ziwa Chad na kufanikiwa kufika katika mji wa Monguno, katika jimbo la Borno.

No comments

Powered by Blogger.