Yaya Toure atamani kurudi Ivory Coast miezi 15

“Yaya Toure ameamua kurudi kuitumikia timu yake ya taifa ya Ivory Coast anataka kushinda mataji zaidi”>>>Seluk Yaya Toure ameripotiwa kuwa taarifa za kufurahisha kwa upande wa nchi yake ya Ivory Coast baada ya kusikia kuwa anafikiria kurudi kuichezea Ivory Coast hii ni baada ya miezi 15.

No comments

Powered by Blogger.