Wosia wa Barack Obama masuala ya mitandao ya kijamii

“Moja kati ya hatari kubwa sana za mtandao ni kwamba watu wanaweza kupata uhalisia tofauti kabisa, wanaweza kupewa taarifa ambazo zinawatengenezea upendeleo. Swali ni kwa njia gani tunaweza kuunganisha hii teknolojia ili kuruhusu sauti nyingi, mgawanyiko wa maoni bila kupelekea utengano kwenye jamii na kutafuta njia ya kupata muafaka. ” – Barack Obama

No comments

Powered by Blogger.