Tuzo alizozawadiwa JPM Na Kampuni alizoagiza JPM zifutwe

Kamati ya Tuzo za Mandela huko Afrika Kusini zimempa Rais John Magufuli Tuzo ya Amani ya Mandela ya nwaka 2017 yaani Mandela Peace Prize ikiwa ni kutambua jitihada zake katika kulinda amani na kupigania usawa wa kijamii. Tofauti na Rais Magufuli viongozi wengine walioshinda ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye ameshinda Tuzo ya Mandela ya Demokrasia.

No comments

Powered by Blogger.