Neno kuhusu Mwandishi aliyepotea

Mwananchi Communication Ltd leo imeitisha mkutano na waandishi wa habari kujadili suala la mwandishi wao Azory Gwanda ambaye amepotea kwa siku ya 17 sasa na hakuna anayejua mahali halipo.

No comments

Powered by Blogger.