Bonanza la mlima Kilimanjaro kuchochea Utalii Nchini

Katika mbio hizo zitakazoanzia katika kilele cha Uhuru na kuishia geti la Marangu, watalii kumi ndiyo watakaoshiriki kati ya 17 waliopanda mlima jana. Mbio za extreme zinazotarajiwa kuanza december 9 mwaka huu zinabashiriwa kuwaongezea idadi ya watalii nchini.Mkurugenzi kampuni ya utalii Eaongoza watalii iliyoandaa mbiyo hizo, Hassan Hassan amesema lengo ni kuongeza pato la Taifa. Mbio hizo zitafanyika mda wa saa 4 hadi 8 kuanzia uhuru hadi geti la Marangu.

No comments

Powered by Blogger.