Dokta Magufuli kupasua Anga kwa kishindo kuibuka Mwenyekiti wa CCM

“Mimi kama Mwenyekiti wa CCM mmenipa heshima kubwa sana, ninashindwa kupata maneno ya kueleza, lakini ninachoweza kuwaahidi ni kwamba nitakuwa kiongozi mwaminifu.” – Rais Magufuli Hii ni baada ya uchaguzi 12 december 2017 na kushinda kwa asilimia zote na hivyo kuibuka na Mwenyekiti wa CCM hadi 2022.

No comments

Powered by Blogger.