Dogo Janja atema moto wa kuwashia mbali kwa jirani yake

“Sigombani na mke wangu kisa jirani kasema nigombane nae, nitakuja nae maisha club leo kumuimbia wimbo mzuri wa mapenzi na msisahau kuwa ikifika saa sita leo ni Birthday yake so karibuni tumuimbie pamoja”>>>Dogo Janja kama ijulikanavyo Irene Uwoya ameolewa na Janjaro picha hii imekua ikizua kitim tim baada ya kusambaa ikiwakilisha mahaba ya uwoya na Mtangazaji TbWay lakini mapenzi ya dogo janja yana nguvu kuliko breakdown na hivyo akasema hagombani na mke wake kisa jirani.

No comments

Powered by Blogger.