TRA YAKUSANYA TRILIONI 15.5 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18

Akitoa taarifa za makusanyo ya kodi Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo amesema sababu zilizopelekea makusanyo hayo kuongezeka ni elimu ya kodi kuzidi kueleweka na walipakodi pamoja na wananchi.
“Katika mwaka wa fedha 2018/19 TRA imedhamiria kutekeleza kwa vitendo kampeni kabambe ya msamaha wa riba na adhabu kwa malimbikizo ya madeni ya nyuma ambapo tunategemea kuongeza urahisi wa kulipa madeni ambayo yalikuwa kikwazo,” amesema Kayombo
No comments