Kauli ya kwanza ya Flaviana Matata baada ya uteuzi wa jokate

Baada ya mwanamitindo na Miss Tanzania namba mbili 2006 Jokate Mwegelo kuteuliwa na Rais Magufuli kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani maneno yamekuwa mengi kuhusiana na nafasi hiyo na Jokate kama hataiweza au hatoiweza.

Wapo wanaokosoa na wapo wanaounga mkono uteuzi huo, baada ya uteuzi huo moja kati ya watu ambao wametoa mawazo yao ni Uncle Fafi na mwanamitindo wa Tanzania anayefanya shughuli zake nchini Marekani Flaviana Matata.

No comments

Powered by Blogger.