'Siwezi kufanya siasa majukwaani'-Msimamo wa Dk.Bashiru CCM
Katibu Mkuu mpya wa CCM, Dk.Bashiru Ally amekabidhiwa rasmi Ofisi na
Katibu Mkuu mstaafu, Abdulrahman Kinana ambapo amesema hawezi kufanya
siasa za majukwaani kwani kazi yake ni utendaji.
Katika makabidhiano hayo Dk.Bashiru siasa za majukwaani wahusika wake wapo akiwemo Mwenyekiti, ambapo yeye atajikita zaidi katika utendaji.
Pia amesema anatarajia watakosolewa kwa misingi ya kukijenga
chama.

No comments