Alichokizungumza KINANA Baada ya Kukabidhi Ofisi Leo
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahhman Kinana
leo Mei 31, 2018 amekabidhi ofisi kwa Katibu Mkuu mpya aliyeteuliwa Dkt
Bashiru Ally.
Baada ya kumkabidhi ofisi,
Kinana amewaomba wanachama wa CCM, waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla kumpa ushirikiano wa dhati kama ambavyo walikuwa wakimpa yeye.
Kinana amewaomba wanachama wa CCM, waandishi wa Habari na Watanzania kwa ujumla kumpa ushirikiano wa dhati kama ambavyo walikuwa wakimpa yeye.
No comments