Rais Magufuli Atoa BILIONI 10 Polisi na Ajira mpya kutangazwa
Dr. John Magufuli akiwa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid ameahidi kutoa BILIONI 10 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za Maaskari wa vyeo vya chini.
“Mimi nimeoa kambini, mke wangu ni mtoto wa Askari Polisi, kwahiyo maisha ya askari wa chini nayatambua, leo nitatoa bilioni 10 ili zikasaidie kujenga nyumba za maaskari na hizi nyumba ziwe za maaskari wa chini”– Rais Magufuli

No comments