Haki ya Elimu wametoa tathmini ya
maeneo yanayopaswa kupewa kipaumbele katika bajeti ya sekta ya elimu kwa
mwaka wa fedha 2018/19. Mkurugenzi Mtendaji wa Haki ElimuDk. John Kalage amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari na kutoa mapendekezo hayo
No comments