Rais Magufuli awajibu wanaosema Dangote amefunga uwekezaji Mtwara
Rais John Magufuli amevishukia vyombo vya habari vya kimataifa zinavyoandika kuwa Mfanyabiashara mkubwa Afrika Aliko Dangote amefunga uwekezaji wake kwenye kiwanda chake cha Cement kilichopo Mtwara nchini Tanzania.
“Katika biashara yoyote, kuna vita, panaweza kuwa hata na vita kati ya taifa na taifa kuhusiana na biashara lakini niwaambie tu kuwa Tanzania ni sehemu bora ya kufanya uwekezaji.” – Rais Magufuli
No comments