‘Nondo hajakosea ndani ya Chuo’-Haki za Binadamu
Shirika la Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania
(THRDC) wamesema uamuzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) kumsimamisha
masomo Mwenyekiti wa TSN Abdul Nondo kabla ya kumalizika kwa kesi
inayomkabili mahakamani, ni sawa na kumhukumu kabla ya kesi hiyo
kumalizika.
” Nondo hata kesi yake ukiangalia aliripoti kama mlalamikaji lakini kilichotokea ndiyo hicho sasa kabla ya ukweli haujajulikana chuo nao wanatoa uamuzi huo kwa kweli hawajamtendea haki mwanafunzi huyu,” -Olengurumwa

No comments